Bwana Mungu alituumba tuwe watoto wake
Kwa bahati baya Dhambi Ikatutenganisha na Mungu
Lakini Mungu alitupenda bado, kwa hivyo akatuma Mwanaye Yesu Christo ndiyo atupatanishe na yeye
Yesu akasema ‘Mimi ndiye Njia, Ukweli na uzima wa milele, hakuna anayekuja kwa Baba bila Mimi
Yesu ndiye njia pekee kwa sababu Mungu alimfanya mwenye dhambi badala yetu Ndio tuwe wenye haki
Damu ya Yesu Christo ndie kitambaa. Haki kitambaa safi kimechukua dhambi zetu ndie tuwe Hulu na watakatifu mbele ya Mwenyezi Mungu
Hukumu ya dhambi ni kifo.
Kwa sababu Yesu alikufa msalabani tumepata uzima wa milele Damu yake imekuwa dhabihu kwa wenye dhambi
Yesu hakutenda dhambi. Alikufa kwa jailing ya dhambi zetu.
Yesu alisulubiwa msarabani, na baada ya siku tatu akafufuka kama iliotabiriwa na wanabii.
Kwa hivyo, Tumbu dhambi Zako ndio nyakati za kufutahi zifike kutoka kwa Mwenyenzi Mungu
Yesu ndiye njia ya pekee yakukufanya kiumbe kipya katika Mungu
Kwa hivyo pokea Yesu Christo Kama Bwana na Mwokozi wa Maisha yako Omba yeye akuokoe.
Mukaribishe Yesu katika maisha yako ndiyo akuokoe
Usingojee na usiogope
PeaceHasCome.org - Swahili - QR Code (png)
Download